10 CHUKUENI YOTE AMBAYO SHETANI AMEIBA!

UNABII WA 10 CHUKUENI YOTE AMBAYO SHETANI AMEIBA! Imepewa kwake Mhubiri Elijah (Elisheva Eliyahu) Disemba 4, 1997 * * * * * * * Kutoka Unabii 105, YAHUVEH Alisema ujumbe huu uwekwe katika kila unabiii kutoka sasa: Nilikuonya kitambo Elisheva kutoita huduma hii kwa jina la mwanamume au mwanamke hata kabla kuwepo na huduma. Niliiweka ndani ya roho yako kwa …

Unabii 79: MIMI, YAHUVEH, Nasema, “Nyinyi Watu, Hamwelewi!”

Unabii 79: MIMI, YAHUVEH, Nasema, “Nyinyi Watu, Hamwelewi!” Imeandikwa/Imezungumzwa katika Upako wa ROHO MTAKATIFU (RUACH HA KODESH) Kupitia Mtume & Nabii Elisheva Eliyahu Agosti 2, 2005 Saa 4:00 Alfajiri * * * * * * * Maoni ya Mhariri: Neno hili la Kinabii kutoka kwa YAHUVEH limeongezwa kwa sababu lilijenga msingi wa kiroho ambapo Maneno mengine zaidi ya Kinabii yakazungumziwa. …

133 NDOTO YA KINABII YA MTOTO MCHANGA ALIYE NA NJAA!

UNABII 133 NDOTO YA KINABII YA MTOTO MCHANGA ALIYE NA NJAA! Umeandikwa/Umesemwa chini ya Upako wa ROHO MTAKATIFU (RUACH HA KODESH) Kupitia Mtume & Nabii Elisheva Eliyahu Ulipokelewa Desemba 19, 2001 – Uliachiliwa tena May 10, 2010   Huu ni unukuzi: Nabii huona vitu mapema. YAH huonya daima kupitia Manabii WAKE wa ukweli. Na nilikuwa na hii ndoto, ndoto dhahiri …

72 SAYARI X

UNABII 72 SAYARI X Umepewa Mtume Elisheva Eliyahu Julai 12, 2003 Onyo la YAHUVEH la kuongezwa kabla ya Unabii: Nilikuonya kitambo Elisheva, kutoita Huduma baada ya jina la mwanaume au mwanamke. Hata kabla kuwepo na huduma, Niliweka ndani ya roho yako. Kwa kuwa hakuna lolote kwa haya ambalo limefanyika kwa mikono yako. Hakuna lolote kwa haya ambalo limetoka kwenye kinywa …

134 MIMI, YAHUSHUA NAKUPELEKA KWENYE MWINUKO MPYA WA IMANI YAKO!

UNABII 134 MIMI, YAHUSHUA NAKUPELEKA KWENYE MWINUKO MPYA WA IMANI YAKO! Unabii Uliopotea Umepatikana! Umesemwa chini ya Upako wa RUACH HA KODESH kupitia Mtume Elisheva Eliyahu Ulipokelewa Hanukkah Desemba 11, 2008 Umeachiliwa tena Mei 10, 2017   Ingawa sehemu za ujumbe huu ni Neno [kwa] mtu binafsi, zengine zinahusu wafuasi waaminifu wote wa YAHUSHUA. Tunaomba mbarikiwe nao! Hii ilirekodiwa kwenye …

30 TAHADHARI! NITAFANYA MSICHOFIKIRIA, KWA WAKATI MSIOFIKIRIA, KATIKA NJIA MSIOFIKIRIA!

UNABII 30 TAHADHARI! NITAFANYA MSICHOFIKIRIA, KWA WAKATI MSIOFIKIRIA, KATIKA NJIA MSIOFIKIRIA! UMEPEWA MTUME ELISABETH SHERRIE ELIJAH (ELISHEVA ELIYAHU) FEBRUARI 8, 1999   Hii inatoka Unabii 105, YAHUVEH Alisema ujumbe huu uwekwe katika kila Unabii kutoka sasa: Nilikuonya kitambo Elisheva(Elisheva) kutoita Huduma baada ya jina la mwanaume au mwanamke hata kabla kuwepo na huduma. Niliweka ndani ya roho yako kwa kuwa …

55 ONYA WATU! UHARIBIFU [MKUBWA] WAJA!!!

UNABII 55 ONYA WATU! UHARIBIFU [MKUBWA] WAJA!!!   UMEANDIKWA/ UMESEMWA CHINI YA UPAKO WA RUACH HA KODESH KUPITIA MTUME ELISABETH SHERRIE ELIJAH (ELISHEVA ELIYAHU) [Huu unabii mpya kutoka kwa YAHUSHUA unajumuisha masomo katika kutafuta Bwana kwa bidii, ndoto Anayoitia Mitume na Manabii WAKE kuisoma na kuiagua, kutoruhusu kuzima upako, na onyo kali kwa wale ambao Anaita kusaidia hii huduma na …